Habari kuu

Premier League

Premier League review: Wiki ya 24

January 22, 2018 0

Wiki ya 24 ya michezo ya ligi ya ligi kuu nchini England ilishuhudia sare ya 1-1 katika uwanja wa St Marry baina ya wenyeji watakatifu Southampton na Tottenham. Ni mchezo ambao Harry Kane alifanikiwa kufunga […]

Habari za Kitaifa

Habari Za Kitaifa

Yanga kucheza na Ihefu raundi ya tatu kombe la FA

January 5, 2018 0

Droo ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imechezeshwa leo Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32. Raundi hiyo ya Tatu imehusisha timu nne(4) za mabingwa wa mikoa timu tatu(3) za Ligi […]

Habari Za Kitaifa

RAIS WA TFF AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI

December 27, 2017 0

SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA TAARIFA YA DIRA NA MUELEKEO WA TFF ILANI YA UCHAGUZI YA RAIS KARIA (First XI ya Karia) KIKAO CHA RAIS WA TFF BWANA WALLACE KARIA NA WAHARIRI WA VYOMBO […]

Habari Za Kitaifa

Mudathir Yahya mchezaji bora mwezi Novemba VPL

December 8, 2017 0

Mchezaji wa timu ya Singida United ya Singida, Mudathir Yahaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba, 2017 wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Mudathir alitwaa tuzo hiyo baada ya […]

Habari Za Kitaifa

Mwamuzi Jonesia Rukyaa kuchezesha kombe la Dunia 2018

November 30, 2017 0

Mtanzania Jonesia Rukyaa Kabakama ameteuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kuchezesha fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa wanawake (Algarve Cup) zitakazofanyika nchini Ureno, mwezi Februari, mwakani. Jonesia ambaye ni mwanamke […]

Habari za Kimataifa

Afrika

England Premier League

MATOKEO YA MECHI LIGI KUU VODACOM – 2017/18

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

RATIBA YA LIGI KUU VODACOM – 2017/18

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

MSIMAMO LIGI KUU TA VODACOM – 2017/18

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

Matokeo Ya Mechi “England Premier League -EPL”

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

Msimamo ” England Premier League – EPL”

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

Ratiba ya “England Premier League – EPL”

The very latest football information here. Now downloading stats from the soccer data feed.

Makala na Uchambuzi

Follow on Facebook