Viongozi wa Parallympic Tanzania wawasili nchini Marekani kwa kozi ya uongozi

Baada ya kozi ya makocha ya Paralympic iliyokuwa ya mafanikio makubwa ikifadhiliwa na chuo kikuu cha kentucky cha nchin Marekani chini ya profesa Ben JOHNSON, hatimaye viongozi wa Paralympic Tanzania wamewasili salama nchini Marekani.

Viongozi hao watakuwa huko kwa muda kwa ajili ya kupata mafunzo maalumu ya uongozi wa michezzo kwa walemavu

Kuna matarajio makubwa ya mafanikio kwa wanamichezo walemavu mara baada ya ziara hiyo.