Mtibwa yaisambaratisha Simba Chamazi

December 7, 2014 Ally Kashushu 0

Mtibwa Sugar imeichapa Simba kwa mabao 4-2 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa leo. Katika mechi hiyo iliyovurumishwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar, mechi ilikuwa kali na ya kuvutia. Hata hivyo, Simba ilionekana kuwa na […]

1 2 3 4