Mavazi ya Mwanaspoti Muislamu yazua zogo

June 24, 2015 Ally Kashushu 0

Mwanasarakasi Muislamu wa kike aliyeshinda nishani mbili za dhahabu katika michezo ya kunyosha viungo vya mwili amekashifiwa kwa kuvalia nguo zilizom’bana na kuonyesha viungo vyake vya mwili. Licha ya kuibuka mshindi katika vitengo viwili, mwakilishi […]

Arda Turan kuelekea England

June 24, 2015 Ally Kashushu 0

Arda Turan amedhamiria kuihama klabu yake ya Atletico Madrid na akitaka kuelekea ‘Premier League’, kwa mujibu wa wakala wa nyota huyo wa kimatafaifa wa Uturuki. Turan mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Atletico akitokea […]

Firmino ajiunga na Liverpool

June 24, 2015 Ally Kashushu 0

Liverpool imemsajili mshambuliaji wa Hoffenheim ya Ujerumani Roberto Firmino na sasa kinachosubiriwa ni kufanyiwa vipimo vya afya yake, Liverpool inayoshiriki ligi kuu ya England imetanganza. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwemye umri wa miaka […]

1 2 3 7