Oxlade Chamberlain

February 26, 2016 Ally Kashushu 0

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Alex Oxlade Chamberlain hatocheza kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la goti, meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alipata jeraha walipokabiliana […]

Oliseh ajiuzulu Super Eagles

February 26, 2016 Ally Kashushu 0

Mkufunzi wa timu ya taifa la Nigeria Sunday Oliseh amejiuzulu wadhfa wake takriban miezi minane baada ya kupewa kazi hiyo. Nahodha huyo wa zamani wa Super Eagles amelishtumu shirikisho la soka nchini Nigeria NFF kwa […]

TUMBA SUED ‘HATIHATI’ JUMAMOSI

February 26, 2016 Ally Kashushu 0

Mlinzi wa kati wa Mbeya City Fc, Tumba Sued Lui, huenda akaukosa mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Tanzania Prison uliopangwa kuchezwa jumamosi hii kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa. Kwenye mazoezi asubuhi ya […]

1 2 3 5