Dua la kuku la Simba kwa Azam na Yanga

March 25, 2016 Ally Kashushu 0

Klabu ya Simba inataka kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi huku wakiwaombea mabaya Yanga na Azam Kocha wa Simba Jackson Mayanja amesema atahakikisha anatumia vizuri mapumziko waliyopata kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chake kiweze […]

Cech mchezaji bora wa mwaka

March 22, 2016 Ally Kashushu 0

Golikipa wa kimataifa ya Jamuhuri ya Czech Petr Cech ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa nchi hiyo. Cech Mwenye umri wa miaka 33,alichaguliwa na makocha, wachezaji na viongozi wa timu kutwaa tuzo ya nane […]

Serena amkemea mwandalizi wa Indian Wells

March 21, 2016 Ally Kashushu 0

Mchezaji anayeorodheshwa wa kwanza duniani katika tenisi ya wanawake Serena Williams ameshtumu matamshi ya mwandalizi mmoja wa mchezo huo kwamba wachezaji wanawake katika mchezo huo wanawategemea sana wanaume. Raymond Moore aliwaambia waandishi kabla ya siku […]

STARS YAJIFUA D’JAMENA

March 21, 2016 Ally Kashushu 0

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imefanya mazoezi katika uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya ulipo katika jiji la D’jamena ikiwa ni maandalizi ya mchezo dhidi […]

RAIS ZFA KUIONGOZA STARS CHAD

March 21, 2016 Ally Kashushu 0

Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ravia Idarus Faina ndiye mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, anatarajiwa kuondoka Dar es salaam kesho Jumanne alfajiri pamoja na wachezaji wengine kuelekea […]

1 2 3