Hassani Kessy ajiunga na Yanga

May 8, 2016 Ally Kashushu 0

Mlinzi Hassani Ramadhani Kessy amejiunga rasmi ya klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. Hatua hiyo ya Kessy kuingia kandarasi ya miaka miwili na mabingwa hao wa soka nchini Tanzania imefuatia mlinzi huyo wa […]