Viongozi wapya Yanga wapongezwa

June 12, 2016 Ally Kashushu 0

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Yussuf Manji kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Young Africans SC baada ya kupata kura 1,468 kati ya 1,470 zilizopigwa. Kura mbili ziliharibika […]

David De Gea akutwa na kashfa ya Ngono

June 12, 2016 Ally Kashushu 0

David De Gea na Iker Munian wametajwa kuhusika na kesi inayoendelea dhidi ya mtengeneza filamu za ngono Ignacio Allende Fernandez almaarufu kwa jina la Torbe. Shahidi wa kesi hiyo ambayo Torbe anatuhumiwa kufanya biashara ya […]

Argentina dozi nene ya Panama

June 11, 2016 Ally Kashushu 0

Argentina imeitwanga mtu 10 Panama 5-0 katika mechi ya Kundi D la michuano ya Copa América Centenario iliyochezwa huko Soldiers Field, Chicago na staa wao Lionel Messi akipiga bao 3. Panama walibaki mtu 10 kuanzia […]

WWE yapata mwali mpya

June 10, 2016 Ally Kashushu 0

Tim Wiese ametangaza rasmi kujiunga na WWE na ataanza mazoezi katika kituo chao cha mazoezi hivi punde. Wiese anadai ya kuwa ilibidi ajiunge na WWE mwaka 2014 ila aliambiwa kwamba anahitaji muda na mazoezi zaidi […]

1 2 3