Aguero nje ‘Manchester derby’

August 31, 2016 Ally Kashushu 0

Sergio Aguero sasa atakosa mchezo muhimu maarufu kama ‘Manchester derby’ dhidi ya Manchester City baada ya chama cha soka England FA jana kubaini kuwa nimtovu wa nidhamu Mshambuliaji huyo wa Manchester City alimkandamiza kwa kiwiko […]

Medali za Afrika kutoka Rio Olimpiki 2016

August 22, 2016 Ally Kashushu 0

Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika. Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio iliokamilika. KENYA […]

Kauli ya TFF juu ya uongozi mpya KIFA

August 18, 2016 Ally Kashushu 0

Uamuzi wa Kamati ya Rufani za Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeona haiwezi kuhalalisha uchaguzi ambao tayari ulikuwa umepingwa na mmoja wa wagombea. “Kuamua hivyo kutazidi kutazidi kulichimbua shimo soka letu,” […]