Review wiki ya 18 Premier League

December 28, 2016 Ally Kashushu 0

Liverpool 4 vs 1 Stoke City Magoli – Jon Walters (Stoke City), Adam Lallan, Firminho, Giannelli Imbula ana badilisha muelekeo wa mpira na kutinga wavuni kabla ya Daniel Sturridge kukamilisha karamu ya magoli. Liverpool wanaendeleza […]

Giggs kumrithi kazi Bob Bradley

December 28, 2016 Ally Kashushu 0

Kiungo wa zamani wa Manchester United anatarajiwa kumrithi aliyekuwa mkufunzi wa Swansea Bob Bradley, aliyetimuliwa kazi Jumanne usiku na Klabu ya Swansea. Awali, Giggs, mwenye umri wa miaka 43, alihojiwa mara mbili na timu hiyo […]

1 2 3 5