Claudio Ranieri: Ndoto zangu zimekufa

February 25, 2017 Ally Kashushu 0

Claudio Ranieri ameishukuru klabu ya Leicester kwa kumpatia kile ambacho kamwe hataweza kukisahau, ingawa amekiri kuwa ndoto zake zimekufa. Meneja huyo mtaliano alifutwa kazi alhamisi usiku, klabu hiyo ikiwa katika nafasi ya 17 katika msimamo […]

Klopp: Nataka mataji Liverpool

February 25, 2017 Ally Kashushu 0

Bosi wa Liverpool Jurgen Klopp amebainisha kuwa anachotaka ni kushinda mataji akiwa na klabu hiyo endapo mpango wake wa muda mrefu na wekundu hao utapitishwa. Klabu hiyo yenye maskani yake Anfield imefanikiwa kutinga fainali katika […]

VITA YA KUEPUKA KUSHUKA DARAJA EPL

February 17, 2017 Ally Kashushu 0

SWANSEA CITY Desemba 27 2016, kocha wa kimarekani Bob Bradley alifutwa kazi na klabu ya Swansea baada ya kuifundisha klabu hiyo kwa michezo 11 akipata ushindi kwa asilimia 18.1%. Kocha wa viungo Pierre Barrieu na […]

Wiki ya 25 ilivyomalizika

February 15, 2017 Ally Kashushu 0

Manchester City vs Bournemouth Je City inaweza kutwaa taji? Manchester City imevuka nafasi 3 hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi. Bournemouth imeshindwa kupata ushindi kwa mchezo wa saba. Swansea 2 vs 0 Leicester […]

1 2