Zlatan arejea mazoezini United

October 18, 2017 Ally Kashushu 0

Zlatan Ibrahimovic ameungana tena na wachezaji wenzake wa kikosi cha Manchester United wakati akiemdelea kuuguza maumivu yake ya muda mrefu ya mguu. Mswedishi huyo amekuwa katika majeraha ya mfupa wa maungio ya goti maumivu yaliyotokana […]

Nadal kuikosa michuano ya Basel

October 18, 2017 Ally Kashushu 0

Mchezaji namba moja kwa ubora duniani Rafael Nadal atakosekana katika michuano ya Basel kutokana na majeraha ya goti. Nadal mwenye miaka 31 amesema kutokana na maumivu hayo ameshauriwa na madaktari wake kupumzika. Alipata majeraha hayo […]

Wanawake 28 wahitimu kozi ya ukocha

October 18, 2017 Ally Kashushu 0

Makocha 28 wanawake kutoka vyuo mbalimbali vya Maendeleo ya Jamii nchini leo Oktoba 17, 2017 wamehitimu kozi fupi ya ukocha katika kozi iliyoratibiwa kwa pamoja kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na […]

1 2 3