Mguu wa Cazorla ulikuwa unaelekea kuoza

November 3, 2017 Ally Kashushu 0

Mchezaji wa Arsenal Santi Cazorla amesema madaktari walimwambia anafaa kushukuru sana iwapo ataweza kutembea tena baada ya kuambukizwa ugonjwa wa gangrini unaosababisha kuoza kwa sehemu ya mwili baada yake kufanyiwa upasuaji. Mchezaji huyo wa miaka […]