Zaha awabeza wanao mshutumu kujirusha

December 15, 2017 Ally Kashushu 0

MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace Wilfried Zaha amejibu kutuma dhidi yake za kujirusha kwa lengo la kuzawadiwa pigo la peneti kwa kusema amekuwa akilenga mambo mengi kuliko wachezaji wengine. Zaha alishutumiwa kujirusha katika mchezo wa timu […]

1 2 3 4