Ujerumani kuumana na Italia kirafiki jumanne

November 14, 2016 Ally Kashushu 0

Ujerumani inakabiliana na Italia kesho Jumanne(15.11.2016)kwa mchezo wa kirafiki ambao utafanyika katika uwanja wa San Siro, pambano ambalo kwa kawaida hutoa cheche miamba hiyo ya soka barani Ulaya inapokutana. Ikiwa bado inakabana na Uhispania kwa […]

Rooney apoteza nafasi England

October 10, 2016 Ally Kashushu 0

Licha ya Wayne Rooney kuwepo katika mazoezi ya timu ya taifa ya England asubuhi Jumatatu ya leo lakini nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza dhidi ya Slovenia iko mashakani. Habari zinasema kocha wa muda […]

1 2 3 50