UCHAGUZI TAFCA KINONDONI MEI 7

April 4, 2017 Ally Kashushu 0

Uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu (TAFCA) Mkoa wa Kinondoni unatarajiwa kufanyika Mei 7 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Tarehe ya uchaguzi huo imetangazwa na Kamati ya Utendaji ya […]

TFF YAMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

January 27, 2017 Ally Kashushu 0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa kuridhia kufunguliwa tena Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kadhalika, TFF inamshukuru Waziri wa […]

TFF YAPATA MKURUGENZI MPYA WA FEDHA

December 17, 2016 Ally Kashushu 0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Bi. Aziza Badru Mwanje kuwa Mkurugenzi mpya wa Fedha na Utawala kuanzia Januari Mosi, 2017. Uteuzi huo umefanywa leo (Desemba 17, 2017) na Kamati ya Utendaji ya […]

1 2 3 61