Medali za Afrika kutoka Rio Olimpiki 2016

August 22, 2016 Ally Kashushu 0

Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika. Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio iliokamilika. KENYA […]

Urusi huru kushiriki Olimpiki

July 26, 2016 Ally Kashushu 0

Sasa imebainika ya kuwa Urusi haitofungiwa moja kwa moja kushiriki kwenye michuano ijayo ya Olimpiki baada ya nchi hiyo kuhusika na kashfa ya wanamichezo wake kutumia dawa za kuongeza nguvu wawapo michezoni ambapo Kamati ya […]

WWE yapata mwali mpya

June 10, 2016 Ally Kashushu 0

Tim Wiese ametangaza rasmi kujiunga na WWE na ataanza mazoezi katika kituo chao cha mazoezi hivi punde. Wiese anadai ya kuwa ilibidi ajiunge na WWE mwaka 2014 ila aliambiwa kwamba anahitaji muda na mazoezi zaidi […]

Maria Sharapova kukata rufaa

June 9, 2016 Ally Kashushu 0

Katika Tenisi tunasubiri kuona iwapo Maria Sharapova atakata Rufaa kupinga kufungiwa miaka miwili baada ya kugundulika kwamba alitumia dawa za kusisimua misuli. Maria ameanza kujitetea kuwa alikuwa anatumia Dawa ya Meldonium kwa ajili tatizo la […]

Wakenya watamba katika London Marathon

April 25, 2016 Ally Kashushu 0

Mwanariadha mkenya Eliud Kipchoge nusura avunje rekodi ya duniaya mbio za Marathon alipoandikisha muda wa kasi zaidi katika mbio za London Marathon. Kipchoge wa Kenya,alihifadhi taji aliloshindwa mwaka uliopita alipoandikisha muda wa kasi zaidi wa […]

Nadal amshinda Montanes

April 23, 2016 Ally Kashushu 0

Nyota namba tano kwa ubora wa mchezo wa tetesi kwa upande wa wanaume Rafael Nadal ameshinda mchezo wake dhidi ya Albert Montanes katika michuano ya wazi ya Barcelona. Nadal alimshinda mpinzani wake kwa seti mbili […]

1 2 3 4