Mguu wa Cazorla ulikuwa unaelekea kuoza

November 3, 2017 Ally Kashushu 0

Mchezaji wa Arsenal Santi Cazorla amesema madaktari walimwambia anafaa kushukuru sana iwapo ataweza kutembea tena baada ya kuambukizwa ugonjwa wa gangrini unaosababisha kuoza kwa sehemu ya mwili baada yake kufanyiwa upasuaji. Mchezaji huyo wa miaka […]

Zlatan arejea mazoezini United

October 18, 2017 Ally Kashushu 0

Zlatan Ibrahimovic ameungana tena na wachezaji wenzake wa kikosi cha Manchester United wakati akiemdelea kuuguza maumivu yake ya muda mrefu ya mguu. Mswedishi huyo amekuwa katika majeraha ya mfupa wa maungio ya goti maumivu yaliyotokana […]

Silva aboresha mkataba wake City

October 11, 2017 Ally Kashushu 0

Inaarifiwa ya kwamba DAVID SILVA anaelekea kusaini mkataba wa mwingine wa kurefusha uwepo wake ndani ya viunga vya Etihad kwa mwaka mmoja mwingine. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31, amekuwa katika mazungumzo tangu kuanza […]

Aguero anausurika kifo

October 1, 2017 Ally Kashushu 0

NSHAMBILIAJI wa Manchester City SERGIO AGUERO amenusurika kifo nchini Uholanzi lakini taarifa zinasema hata hivyo amepatwa na majeraha ya mbavu. Mshambuliaji huyo ameokolewa na mkanda wa kiti alichokuwa amekalia pamoja na puto maalumu la kuepusha […]

1 2 3 17