Nyota wa kikapu Gordon Hayward avunjika mguu

Gordon Hayward amevunjika mguu.

Nyota wa timu ya mpira wa kikapu ya Boston Celtics, Gordon Hayward amevunjika mguu katika mchezo wa leo alfajiri wa michuano ya ligi ya NBA wakati timu yake hiyo ilikuwa dimbani dhidi ya Cleveland Cavaliers.

Hayward alivunja kifundo cha mguu na kugeuka kabisa baada ya kuruka juu na kukanyaga chini vibaya.

Be the first to comment

Leave a Reply