Rooney ashinda tunzo ya goli bora la mwezi Novemba

Rooney ameshinda tuzo ya goli bora la mwezi Novemba alilofunga dhidi ya West Ham Novemba 29.

Goli lililofungwa na Wayne Rooney akiwa upande wa goli lake la Everton na kuusukumiza mpira upande wa pili lilipokuwa goli la wapinzani wao West Ham katika mchezo uliopigwa Novemba 29 limetangazwa kuwa goli bora la mwezi Novemba.

Katika mchezo huo Rooney alifunga hat-trick yake ya msimu huu wakati Everton ikiizamisha West Ham 4-0 katika dimba la Goodison Park.

Be the first to comment

Leave a Reply