SBL YASHUSHA NEEMA KWA TIMU ZA TAIFA, YAMWAGA UDHAMINI WA BIL 2.1 KWA MIAKA 3

Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeweza kupata donge nono la udhamini wa miaka mitatu kutoka kampuni ya SBL kwa dau la shilingi Bilioni 2.1.

Tukio hilo limefanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe wakati wa kupokea udhamini huo, amewataka TFF kuhakikisha wanazisimamia vizuri fedha hizo ili zifanye kazi zilizokusudiwa.

Chanzo http://dewjiblog.co.tz