Mbeya City yamuundia kamati Juma Nyoso

October 1, 2015 Ally Kashushu 0

MBEYA CITY COUNCIL FOOTBALL CLUB TAARIFA KWA UMMA Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana leo tarehe 29.09.2015 kwa dharula kulijadili suala ambalo hivi sasa linaendelea kujadiliwa katika Umma wa wanamichezo nchini likimuhusisha mchezaji wa […]