Mayweather na Pacquiao kupatana ulingoni

March 8, 2015 Ally Kashushu 0

Mashabiki wengi wa masumbwi wanalisubiri kwa hamu na ghamu pigano Kati ya bondia Mmarekani Floyd Mayweather Jnr na Mfilipino Manny Pacquiao. Wengi wanasema litakuwa pigano kubwa katika historia ya sasa. Kocha au mkufunzi wandondi Freddie […]