VITA YA KUEPUKA KUSHUKA DARAJA EPL

SWANSEA CITY
Desemba 27 2016, kocha wa kimarekani Bob Bradley alifutwa kazi na klabu ya Swansea baada ya kuifundisha klabu hiyo kwa michezo 11 akipata ushindi kwa asilimia 18.1%.
Kocha wa viungo Pierre Barrieu na msaidizi wake Paul Williams pia waliihama klabu hiyo. Alan Curtis alichukua majukumu ya Bradley kwa muda kabla ya aliyekuwa meneja msaidizi wa Bayern Munich Paul Clement kuingia mkataba wa miaka miwili na nusu wa kuifundisha klabu hiyo kuanzia 3 January 2017.

Baada ya kuwasili wa Clement, Swansea ilimuongezea nguvu meneja huyo kwa kumuajiri Nigel Gibbs na Claude Makélélé kuwa wasaidizi wake na Karl Halabi akaajiriwa kuwa mkuu wa idara ya viungo

Tangu kuanza kazi kwa timu hiyo mpya ya ufundi,Swansea City imecheza michezo 6, na kushinda michezo 3 haijatoa sare lakini imefungwa michezo mitatu. Wastani wa ushindi ni asilimia 50%.

Tangu kuwasili kwa Silva Hull City imecheza michezo 9 na kushinda michezo 4 na kutoka sare mchezo 1, lakini imefungwa michezo 4.

SWANSEA NEXT FIVE MATCHES
25.02. 18:00
Chelsea vs Swansea
04.03. 18:00
Swansea vs Burnley
11.03. 18:00
Hull City vs Swansea
18.03. 20:30
Bournemouth vs Swansea
01.04. 17:00
Swansea vs Middlesbrough

BOURNEMOUTH NEXT FIVE MATCHES
25.02. 18:00
West Brom vs Bournemouth
04.03. 15:30
Manchester United vs Bournemouth
11.03. 18:00
Bournemouth vs West Ham
18.03. 20:30
Bournemouth vs Swansea
01.04. 17:00
Southampton vs Bournemouth

MIDDLESBROUGH
Forwards
20 Bamford Patrick 23 3 0 0 0
11 Fischer Viktor 22 12 0 0 0
29 Gestede Rudy 28 4 0 0 0
10 Negredo Alvaro 31 24 6 4 0
18 Stuani Christian 30 17 4 3 0
37 Traore Adama

Midfielders
8 Clayton Adam 28 22 0 6 0
19 Downing Stewart 32 18 1 1 0
34 Forshaw Adam 25 25 0 3 0
27 Guedioura Adlene 31 2 0 0 0
7 Leadbitter Grant 30 6 1 0 0
21 Ramirez Gaston 26 18 2 8 0
11 Soisalo Mikael 18 0 0 0 0
14 de Roon Marten
MIDDLESBROUGH NEXT FIVE MATCHES
Middlesbrough
25.02. 18:00
Crystal Palace vs Middlesbrough
04.03. 18:00
Stoke City vs Middlesbrough
11.03. 18:00
Middlesbrough vs Sunderland
19.03. 15:00
Middlesbrough vs Manchester United
01.04. 17:00
Swansea vs Middlesbrough

LEICESTER CITY
WASHAMBULIAJI
7 Musa Ahmed 24 18 2 1 0
20 Okazaki Shinji 30 20 2 1 0
19 Slimani Islam 28 14 5 1 0
23 Ulloa Leonardo 30 12 1 0 0
9 Vardy Jamie 30 22 5 2 1

VIUNGO
11 Albrighton Marc 27 21 0 3 0
13 Amartey Daniel 22 18 1 3 0
4 Drinkwater Daniel 26 19 0 4 0
22 Gray Demarai 20 19 1 1 0
14 Kapustka Bartosz 20 0 0 0 0
10 King Andy 28 16 1 2 0
26 Mahrez Riyad

WALINZI
29 Benalouane Yohan 29 0 0 0 0
3 Chilwell Benjamin 20 4 0 1 0
28 Fuchs Christian 30 24 1 7 0
6 Huth Robert 32 23 0 7 0
24 Mendy Nampalys 24 4 0 1 0
5 Morgan Wes 33 25 1 3 0
25 Ndidi Wilfred 20 5 0 0 0
17 Simpson Danny 30 23 0 8 0
2 Wague Molla 25 0 0 0 0
27 Wasilewski Marcin

LEICESTER CITY NEXT FIVE MATCHES
ENGLAND: Premier League
27.02. 23:00
Leicester vs Liverpool
04.03. 18:00
Leicester vs Hull City
11.03. 20:30
Arsenal vs Leicester
18.03. 18:00
West Ham vs Leicester
01.04. 17:00
Leicester vs Stoke City

HULL CITY
Januari 5 2017, Marco Silva aliajiriwa kuwa kocha mkuu wa Hull City hadi mwisho wa msimu wa ligi, alichukua nafasi ya Mike Phelan ambaye alitimuliwa kazi wakati kikosi cha timu hiyo kinashikilia mkia wa ligi ya Premier.

Silver aliwachukua makocha wake wasaidizi João Pedro Sousa na Gonçalo Pedro pamoja na kocha wa makipa Hugo Oliveira.

Siku mbili baadaye, Silva alikiongoza kikosi hicho katika mchezo wake wa kwanza ambao timu hiyo ilichomoza na ushindi wa goli 2–0 dhidi ya Swansea City katika mchezo wa raundi ya 3 wa michuano ya FA.

Mechi yake ya kwanza akiwa meneja Tigers katika ligi ya Premier ulikuwa ni mchezo wa matokeo ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth Januari 14.

Januari 26 Hull City iliichapa Manchester United 2-1 katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya League Cup, na kuipa ushindi wa kwanza klabu hiyo ushindi wa kwanza dhidi ya Manchester United tangu 1974.Hata hivyo kwa kuwa United ilipata ushindi katika mchezo wa kwanza, Hull ilishindwa kusonga mbele.

Februari 4, Hull City iliichapa Liverpool 2–0 katika mchezo wa ligi ya Premier, na kuwa mchezo wa 4 wa Silva kushinda katika michezo 4 ya uwanja wa nyumbani,

HULL CITY NEXT FIVE MATCHES
25.02. 18:00
Hull City vs Burnley
04.03. 18:00
Leicester vs Hull City
11.03. 18:00
Hull City vs Swansea
18.03. 18:00
Everton vs Hull City
01.04. 17:00
Hull City vs West Ham

CRYSTAL PALACE
Crystal Palace ilimuajiri Sam Allardyce Desemba 23 aliyechukua nafasi ya Alan Pardew aliyefutwa kazi Desemba 22.

Tangu alipoanza kuifundisha klabu hiyo, Palace imecheza michezo 11 na kushinda michezo 2, kwenda sare michezo 2 lakini ikifungwa michezo 7.
CRYSTAL PALACE NEXT FIVE FIXTURE
25.02. 18:00
Crystal Palace vs Middlesbrough
04.03. 18:00
West Brom vs Crystal Palace
11.03. 18:00
Crystal Palace vs Tottenham
18.03. 18:00
Crystal Palace vs Watford
01.04. 17:00
Chelsea vs Crystal Palace

SUNDERLAND
Chini ya David Moyes, Sunderland imekuwa na matokeo mabaya msimu huu. Victor Anichebe alikuwa na mchango mkubwa katika kikosi lakini tangu kuumia kwa mshambuliaji huyo raia wa Nigeria kikosi cha meneja David Moyes kimekuwa kikitegemea uwezo wa msshambuliaji mkongwe Jermain Defoe. Kiungo Didier Ndong amekuwa na mchango mkubwa katika kikosi hicho.
SUNDERLAND NEXT FIVE FIXTURE
25.02. 18:00
Everton vs Sunderland
05.03. 19:00
Sunderland vs Manchester City
11.03. 18:00
Middlesbrough vs Sunderland
18.03. 18:00
Sunderland vs Burnley
01.04. 17:00
Watford vs Sunderland