Wenger apigwa marufuku michezo mitatu ukiwemo wa nusu fainali ya Carabao dhidi ya Chelsea

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya paundi elfu 40 kutokana na kuonyesha nidhamu mbaya katika chumba cha kubadilishia cha waaamuzi baada ya mchezo wa timu yake dhidi ya West Brom Jumapili.

Taarifa ya chama cha soka nchini England imesema tayari meneja huyo mfaransa amekiri kuwa lugha aliyoitumia na tabia aliyoonyesha ilikuwa ni matusi na isiyokubalika katika mpira ya kuhoji uadilifu wa mwamuzi.

Wenger alikasirishwa na mwamuzi Mike Dean baada ya mchezo uliotoa matokeo ya sare ya 1-1 mchezo uliopigwa The Hawthorns ambao Calum Chambers alifunga penati ya dakika za majeruhi kufuatia kosa la kushika mpira.

Ataanza kutumikia adhabu hiyo katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya FA ugenini Nottingham Forest Jumapilion Sunday and it will take in two other away games, in the first leg of the Carabao Cup semi-final at Chelsea and against Bournemouth in the Premier League.

Be the first to comment

Leave a Reply